x - mas JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 931 Reaction score 612 Mar 14, 2013 #1 jamani wana jukwaa hivi huu msemo unamaana gani?"leaving no stone unturned"
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,298 Mar 14, 2013 #2 Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa
Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa
x - mas JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 931 Reaction score 612 Mar 14, 2013 Thread starter #3 Gaijin said: Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa Click to expand... Asante sana mkuu.
Gaijin said: Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa Click to expand... Asante sana mkuu.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Mar 14, 2013 #4 Gaijin said: Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa Click to expand... Mchango wako na avator yako vinaendana kabisa, hiyo mijitabu sio bure. Be blessed
Gaijin said: Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa Click to expand... Mchango wako na avator yako vinaendana kabisa, hiyo mijitabu sio bure. Be blessed
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Mar 20, 2013 #5 uelewa kidogo ni kwamba HAKUNA ATAKAYEACHWA