huu msemo wa kizungu mbona nashindwa kuuelewa!

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
jamani wana jukwaa hivi huu msemo unamaana gani?"leaving no stone unturned"
 
Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani

Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa
 
Asante sana mkuu.
 
Ni sawa na "kufanya kila liwezekanalo" katika kusaka kitu au kufikia lengo fulani

Kila jiwe litageuzwa kukaguliwa/litapekuliwa katika "msako" utakaoendeshwa

Mchango wako na avator yako vinaendana kabisa, hiyo mijitabu sio bure. Be blessed
 
uelewa kidogo ni kwamba HAKUNA ATAKAYEACHWA
 
Back
Top Bottom