Huu msimamo wa ligi ya baridi baadhi ya mikoa

Huu msimamo wa ligi ya baridi baadhi ya mikoa

Mbobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
1,392
Reaction score
1,818
Arusha tunasema kuna baridi aisee ila huko makete ni uturuki ndani ya Bongo.

IMG-20210625-WA0000.jpg
 
Arusha huwa wako vizuri kwenye ku-exaggerate vitu vya kwao!

Wakiliongelea baridi la kwao, unaweza kudhani wanaongelea Antarctica!
 
Back
Top Bottom