Tunza kibunda chako.Hahaha asijue michongo yako yote na marafiki zako pia asijue pamoja na balance uliyobaki nayo
Biblia ni zaidi ya encyclopedia kwa madini ya ulimwengu huu.HABARI WAKUBWA
MSTARI KUTOKA MIKA 7:5
Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
🙏