Huu mstari ukiuelewa vizuri kuna vitu hautateseka

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
HABARI WAKUBWA

MSTARI KUTOKA MIKA 7:5

Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
πŸ™
 
Futa chat zote kila baada sekunde au kila baada ya kusoma ujumbe.

Ili mkeo alalaye kifuani kwako hasijue habari.



Umalaya pro maximum
 
Kibunda ni muhimu sana kutunza
 
HABARI WAKUBWA

MSTARI KUTOKA MIKA 7:5

Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
πŸ™
Biblia ni zaidi ya encyclopedia kwa madini ya ulimwengu huu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…