Huu Mtego anao utega Bernard Morrison kwa viongozi wa Yanga SC atafanikiwa kuwanasa?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Toto tundu (Bernard Morrison) mchezaji kituko anaonyesha kiwango kizuri kuelekea mechi hizi za mwisho wa msimu.

Je, huo ni Mtego kwa viongozi wa Yanga wampe kandarasi Tena au anatangaza bidhaa yake sokoni??

Naona kaacha ujinga kaamua kukipiga Sasa uwanjani.
 
HUYU JAMAA ni mjanja sana Pindi MKATABA wake unapofika hatua za awali, MWISHONI.

Ninamshukuru sana Mzee DEWJI alishauri Simba na yanga zote ziachane nae.

YANGA hawakutaka kusikia.

KWA KITUKO ALICHOKIFANYA JANA IKULU SIDHANI KAMA BADO ATAENDELEA KISALIA TANZANIA.
 
hawawezi tayari tushampeleka sungida bid stars
 
Ila kiukweli huyo jamaa ni mbwiga plus vituko vyake daa, issue ya leo uwanjani ilikuwa ni vituko tupu, mfano issue ya ugomvi.

Pamoja na kuwa alikuwa mmojawapo kwenye timbwili ila aliluka kihunzi na nilijua na yeye angekula kadi pale kabla.
 
Uzee unaingia lazima aachane na uhuni
 
Dewj ndio aishauri yanga?
 
Alifanyaje ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…