NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Toto tundu (Bernard Morrison) mchezaji kituko anaonyesha kiwango kizuri kuelekea mechi hizi za mwisho wa msimu.
Je, huo ni Mtego kwa viongozi wa Yanga wampe kandarasi Tena au anatangaza bidhaa yake sokoni??
Naona kaacha ujinga kaamua kukipiga Sasa uwanjani.