Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Anafurahia mechi itakayoanza soonSa amefurahi nini?
Mzee nimeielewa staili yko ya kufikisha ujumbe..😀😀 Wacha tuangalie hio staili ya kunyoaWanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!
Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!
Nawasilisha.
View attachment 882884
Hoja yako umeificha kwenye hii pichaWanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!
Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!
Nawasilisha.
View attachment 882884
hapa naona huyudogo amemind mzigo[emoji90] [emoji12] [emoji12]Wanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!
Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!
Nawasilisha.
View attachment 882884
Umeuatz sweetheart baby..
hii inaitwa lenzi mbinuko
Umeua
Manula mjinga sana huyu.Sa amefurahi nini?