Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
huu mtindo unaitwa "Kiwazenza"Wanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!
Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!
Nawasilisha.
View attachment 882884