Huu mtindo wa Pascal vipi?

Huu mtindo wa Pascal vipi?

Wanabodi nawasalimu sana!

Mi nimeshazeeka.

Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!

Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!

Nawasilisha.

View attachment 882884
huu mtindo unaitwa "Kiwazenza"
 
Kiduku sumu kinaitwa,,,,,ila huyu manula naona anashangaa kijungu
 
Wanabodi nawasalimu sana!

Mi nimeshazeeka.

Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!

Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!

Nawasilisha.

View attachment 882884
Kipa kapagawishwa na umbo namba nane
 
Manula anacheka paskali wawa kuambiwa yeye ni ivory coast sweetheart na darsweetheart aseee
 
Wanabodi nawasalimu sana!

Mi nimeshazeeka.

Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku KIBAIGWA sijaiona hiyo!

Walau Manula na Arasii nimewaelewa mitindo yao!

Nawasilisha.

View attachment 882884
Huyu Manula asipokuwa makini kiwango kitashuka nawaambia...[emoji87]
 
Manula Manula Manula.................. hilo wenzere lina mwenyewe................. manula ukiona vya elea jua vina................. sio kwa jicho mlegezo hilo...
 
Back
Top Bottom