gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Nilikuwa hospitali ya mkoa leo na nikaona kitu kikanikumbusha nilichowahi kuwaza siku moja mbona hawa manesi wa hospitali za serikali hasa wa huku mikoani hawana mvuto hivi! Hivi hawa mabinti wa siku hizi si wanaweza kuwa discouraged na muonekano wao na wasipende kazi hiyo?
Yaani katika manesi kama 50 hivi ambao nilibahatika kuwaona hakuna hata mmoja aliyekuwa anaweza pita ukamuangalia mara mbili au ukavutiwa kumuona mwanao wa kike anakuwa nesi siku moja mkuu
Uaiombe nesi ainame chini kufunga kamba ya viatu vyake hapo unaweza kupona ghafla
Wamechoka haina maana wako ugly ila simply wamechoka........hivi unafikiri kwa nini katika miji mikubwa wanawake wazuri huonekana wako idadi kubwa kuliko maeneo ya shamba? UWEZESHAJI MKUU!Kwamba wako ugly si ndiyo?