Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Kwanza mwamposa sio MTUME wala NABII,, hii ni taka taka inayocheza na akili za akina mama
Huwaambii kitu kuhusu huyo mpuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo wewe ulitaka uwaambie nini hao akina mama.

Kaa kutulia huna hoja.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wivu tu..wewe uliwasaidia nini hao wazee.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Binti wako wa kazi vipi mpaka sasa amefanikiwa au bado uko nae hapo nyumban?
afanikiwe wapi yupo tu home anapiga kazi na wala sijaona dalili za yeye kutaka kuondoka ila kwenye mikesha yao huwa namwacha anaenda.

umri wake sio wa kumchunga maana amevuka 18.
 
huo msambwanda waaumini tungekuwa wengi sana
 
Akili yako ndipo ilipoishia hapo..absurd

#MaendeleoHayanaChama
Afadhali mie akili yangu ina ukomo,na imetumika.
Wewe unashindwa kutumia hata akili yako uliyozaliwa nayo..acha ile ya darasani ambayo hujawahi itumia kabisa.
 
Hata mimi nimeona ila hii ni imani sio lazima uamini
 
Sawa..sali omba upewe pesa za kulipa bili zako kwa imani.halafu Vuta shuka ulale ukiamini asubuhi utazikuta hapo chini au kwenye wallet yako..
Watu kama nyie ndo mnanyweshwa jiki nanyi mnakunywa mkiamini haitawadhuru na INA upako.matokeo...........
Hunipati
 
Hautaki kuwa Kondoo wa Yesu, unataka uwe Kondoo wa Lucifer (Shetani)
 
kama ni kweli basi ajue great oracle wa mwamposya siku moja atadai
 
Ndo anafanya hivyo
 
Hakuna hata unafuu mkuu, tatizo wanafilisi hii ni baada ya kutumia hivyo vitu vyao sijui kukanyaga mafuta, maji, na zile leso wanakusukuma nazo uanguke [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Juju
Lakini sikuanguka hahahaaha yaan nilishakanyaga mafuta
 
Kuna jamaa humu ni mlokole kindak ndak atakwambia kisichowezekana kwa binadam kwa bwana kinawezekana.
 
Aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…