Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

Kwanza mwamposa sio MTUME wala NABII,, hii ni taka taka inayocheza na akili za akina mama
Huwaambii kitu kuhusu huyo mpuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo wewe ulitaka uwaambie nini hao akina mama.

Kaa kutulia huna hoja.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyu pastor ni choko.. nilienda pale mwaka mpya baada ya kutoka kanisa Fulani.. nikasema embu Leo nione watu wakikanyaga mafuta[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee.. niliona wamama na wazee pale machozi yalinilenga jamaa Hana huruma anayesa watu bure.. wazee wale walitakiwa wawe wamepumzika Nyumbani sio kuwa brain washed na huyu mpumbavu mmoja
Wivu tu..wewe uliwasaidia nini hao wazee.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Binti wako wa kazi vipi mpaka sasa amefanikiwa au bado uko nae hapo nyumban?
afanikiwe wapi yupo tu home anapiga kazi na wala sijaona dalili za yeye kutaka kuondoka ila kwenye mikesha yao huwa namwacha anaenda.

umri wake sio wa kumchunga maana amevuka 18.
 
Hawezi jificha kwa sabb kondoo wake wapo full kumtetea na kumsingizia shetani[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji23]

Nisingekuwa namuogopa Mwenyezi Mungu na mimi ningeanzisha church nipige hela asee maana bongo vilaza wengi!
Easy money ile asee[emoji848]
huo msambwanda waaumini tungekuwa wengi sana
 
Akili yako ndipo ilipoishia hapo..absurd

#MaendeleoHayanaChama
Afadhali mie akili yangu ina ukomo,na imetumika.
Wewe unashindwa kutumia hata akili yako uliyozaliwa nayo..acha ile ya darasani ambayo hujawahi itumia kabisa.
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Hata mimi nimeona ila hii ni imani sio lazima uamini
 
God is able..kama unaamini kuwa Yesu alitembea juu ya maji..au danieli hakuliwa na simba..au elisha kupiga upofu jeshi..au musa kupiga mwamba ukatoa maji..unaashindwa vipi kuamini hiyo miujiza ya pesa..mana injili na Mungu ni yule yule wanao muhubili akina mwamposa.

#MaendeleoHayanaChama
Sawa..sali omba upewe pesa za kulipa bili zako kwa imani.halafu Vuta shuka ulale ukiamini asubuhi utazikuta hapo chini au kwenye wallet yako..
Watu kama nyie ndo mnanyweshwa jiki nanyi mnakunywa mkiamini haitawadhuru na INA upako.matokeo...........
Hunipati
 
Unategemea nini toka kwa watu waliokubali kuitwa wanakondoo? Kondoo hawana akili unawaswaga tu wanaenda unakotaka. Ndivyo hawa wanaojiita mitume wengi wanavyofanya.

Ni kama vile uwa wanashindana kuonyesha ni nani ambaye ana kondoo wajinga kuliko mwenzake. Utakuta huyu anawavua kondoo wake wa kike chupi madhabahuni nao wanakubali, huyu anakula ugali madhabahuni anaita kondoo wake wa kiume waje wamlambe mikono.
Huyu anawanywesha dawa ya kuulia wadudu.

Ukikubali kuwa kondoo kwisha kazi.
Hautaki kuwa Kondoo wa Yesu, unataka uwe Kondoo wa Lucifer (Shetani)
 
kama ni kweli basi ajue great oracle wa mwamposya siku moja atadai
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee katisha. Ila hampendi Ngwajima nahisi ni adui yake namba 1.
Maana hata kanisani kwake akikuona wewe mpya anakuuliza hivi wewe hujatumwa na ngwajima, maana ngwajima anatuma watu wake waniibie waumini. We njoo hapa walinzi ebu mleteni hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] we sio wa ngwajima kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo anafanya hivyo
 
Hakuna hata unafuu mkuu, tatizo wanafilisi hii ni baada ya kutumia hivyo vitu vyao sijui kukanyaga mafuta, maji, na zile leso wanakusukuma nazo uanguke [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Juju
Lakini sikuanguka hahahaaha yaan nilishakanyaga mafuta
 
Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]

Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]

Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.

Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.

Hela zote hajui zinatoka wapi.

Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Kuna jamaa humu ni mlokole kindak ndak atakwambia kisichowezekana kwa binadam kwa bwana kinawezekana.
 
Aisee....
 
Back
Top Bottom