Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Sitaki kuwa kondoo kabisaHautaki kuwa Kondoo wa Yesu, unataka uwe Kondoo wa Lucifer (Shetani)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kuwa kondoo kabisaHautaki kuwa Kondoo wa Yesu, unataka uwe Kondoo wa Lucifer (Shetani)
Wivu tena[emoji23][emoji23][emoji23].. akili zenu nyie ng'ombe wa mwamposa mnazijua wenyewe yani mjinga hata kujenga orphanage adanganye wenye akili zao Napo ameshindwa.Wivu tu..wewe uliwasaidia nini hao wazee.?
#MaendeleoHayanaChama
Weee mimi nina ndugu yangu kaokoka yani kila mtu kwake mwanga, kila jirani yake mwanga, anaua mijusi kuwa inatumwaga na wachawi, paka yeyote akikatiza anasema ni mwanga, yani yeye kila kitu hivyo
We acha yani kuna muda watu wakifa eti utasikia walikuwa wanga hao maombi yao yamewapa kipgo mpaka wamekufa.Nimeona hata jirani yangu
Alikuta paka amekufa.. nikamwambia labda alikula kitu chenye sumu[emoji28]
Akakataa akadai alimwaga maji ya upako toka kwa Mwamposa..
Akasema mtaa una wanga wengi mno.. yaani unakuta wanajenga chuki kwa mambo ya kufikirika
Shetani ni mwenzenu huko kwenye ukristoUkristo ni dini halali..ndio mana shetani anaishambulia sana..hawezi shambulia kambi yake ya maajini.
#MaendeleoHayanaChama
Ukimsikia Mtu anasali / anaabudu hapo Kwanza jua ana Ubongo dhaifu sana halafu anza Kumdharau Maisha yako yote kwani amekubali Kutekwa na Muhuni, Mchawi na Tapeli wa Kiimani apatikanae Tanganyika Packers Kawe.Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Nilisikia nabii anasema mijusi ni darubini za wachawi,,wanatumia kuona ndani kwako kuna nini[emoji28][emoji28]Weee mimi nina ndugu yangu kaokoka yani kila mtu kwake mwanga, kila jirani yake mwanga, anaua mijusi kuwa inatumwaga na wachawi, paka yeyote akikatiza anasema ni mwanga, yani yeye kila kitu hivyo
Kibaya zaidi utatukanwa Ukristo na siyo Mwamposa.Huwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]
Kuna mahali nilikuwepo wameweka ile chanel yake watu wanatoa ushuhuda jamaa mmoja akasema alienda kuomba apate hela akala na keki siku hiyo yupo nyumbani akashangaa sms kucheki amepokea milioni 10 hajui ilipotoka kwa hofu akamshirikisha jirani, jirani akamwambia katoe labda Mungu kakuona akaenda kwa wakala kutoa ilivyotoka ikaingia tano ingine akatoa[emoji1787][emoji1787]
Najiuliza mtandao gani wa simu laini inaweza pokea milioni 15 na ikatoka ndani ya lisaa limoja[emoji2307][emoji2307]tena bora angekuwa mtu wa kutumia miamala jamaa anadai hakuwahi weka kwenye simu hata laki.
Jamaa akaendelea baada ya kutoa ile tano ikaingia mbili akatoa tena jumla akawa na milioni 17(sijui roho mtakatifu alilipia makato) jamaa anadai hakuwahi miliki milioni moja yake ila kwa mara ya kwanza akawa amepata milioni 17 akarudi home akaanza harakati za Ujenzi, mpaka sasa amefanikiwa kujenga, kununua pikipiki na kafungua biashara, anadai kuwa ule mtindo wa kupokea hela uliendelea hadi akakamilisha ujenzi wa nyumba ya Milioni 30 biashara na usafiri(pikipiki)sasa hivi ana mpango wa kununua gari.
Hela zote hajui zinatoka wapi.
Daah MUNGU anisamehe tu ila huu ni utapeli wa hadharani
Daaaah inasikisha kwakweli na kuhuzunisha na maneno kama hayo serikali ipo na inayasikia kiukweli inasikitisha, mm nimekuwa nikisikia mengi watu wanatoa ushuhuda wa kitaperi lakini serikali haichukui hatua, hata huyo anaetoa ushuhuda huwa baadae akikaa anajiuliza kuwa hivi niliongea nini kile wakati wanatoa ushuhuda huwa wameondolewa akiri kwa muda halafu wanarudishiwa baada ya kumaliza kuongea pale kuna aina ya uchawi na mazingaombwe ya hali ya juu sana wananunua huko naigeriaHuwa sipendi sana kuingilia imani ya mtu ila kwa jana nimeona kabisa MTUME na NABII Mwamposa kuna dalili za upigaji[emoji2307][emoji2307]