Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka.
Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority.
Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine.
Mfutaji ni Waziri wa TAMISEMI MR. MCHENGERWA, ila kwa mujibu wa katiba hana mamlaka ya kufanya hivyo, maana yake ni kwamba amefuta kwa amri ya Rais.
Pia soma: Kuna kero za muungano au muungano ni kero?
Atatokea mtu mwenye hasira ataifuta Zanzibar yote kulipa kisasi, au atatokea mtu mwingine kutoka Zanzibar ataifuta Arusha, Moshi na Tanga au Mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja tisipoangalia.
Mtoto huwa anaanza kutest vitu, anagusa kitu halafu anaangalia sura ya mzazi wake ili aone reaction yake. Akiona mzazi ametabasamu anajua this is good akiona mzazi amekunja uso anaacha.
Uzi huu hauko kichama, kama mtu atatoa comment based on his/her political influenza basi huyo ni tahira.