Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

KWANZA MLIANZA NYINYI MAKAFIRI KUTAKA KUJIMILIKISHA VITU NA RASILIMALI ZA NCHI HII,WEWE ULISKIA WAPI RASILIMALI NCHI HII IPO KARNE NA KARNE ETI KISHA ANAKUJA KAFIR MMOJA ANASEMA MLIMA HUU UMEGUNDULIWA NA DR LIVINGSTONE,..!!

NAJUA MNAUMIA SANA MAKAFIRI NCHI HII KILA MUISLAM AKISHIKA DOLA,SASA HIVI TUTAZUNGUMZA LUGHA MNAYOZUNGUMZA NA BILA SHAKA TUTAELEWANA TUH,SASA HATA KAMA VATICAN WANAITAKA NCHI HII TUNAWAPA VIPI NA WAO HAWANA HELA WANA MISALABA TUH NA SANAMU LA YESU KRISTO??
Wewe kweli limbukeni.

Kilichokutia jazba hasa hapo ni kutajwa Sayyid Sayed sio???
Usiwe mpumbavu, Sayyid ni jina la kiarabu sio uislam ni jina la kabila tu kama Wanyakyusa kuwa na Mwakifamba. Sasa unapoanza kukimbilia swala la dini ni dhahiri inamaanisha huna unalolijua.

Nyie ndio wa kuamini kanzu ni vazi la kiislam kutokujua kuwa kanzu ni vazi la asili la kiarabu.

Point hapa sio udini bali ni mamlaka ya Mzanzibari kutapanya mali ya Watanganyika.

Wewe unaeita wengine makafir, pengine mbele ya macho ya Muumba huna thamani yeyote sababu ya matendo yako.

Sheikh uislam sio jina ni matendo.

Surah Al-Hujurat Ayat 11 (49:11 Quran)​

Allah anasema

"Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu"
 
Wewe kweli limbukeni.

Kilichokutia jazba hasa hapo ni kutajwa Sayyid Sayed sio???
Usiwe mpumbavu, Oman (Uarabu) sio uislam ni kabila tu kama wamatumbi. Sasa unapoanza kukimbilia swala la dini ni dhahiri inamaanisha huna unalolijua.

Nyie ndio wa kuamini kanzu ni vazi la kiislam kutokujua kuwa kanzu ni vazi la asili la kiarabu.

Point hapa sio udini bali ni mamlaka ya Mzanzibari kutapanya mali ya Watanganyika.

Wewe unaeita wengine makafir, pengine mbele ya macho ya muumba huna thamani yeyote sababu ya matendo yako.

Sheikh uislam sio jina ni matendo.

Surah Al-Hujurat Ayat 11 (49:11 Quran)​

Allah anasema

"Enyi mlio amini! Wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio tubu, hao ndio wenye kudhulumu"
WEWE LABDA HUWAJUI VIZURI MAKAFIRI WA NCHI HII,WANACHOKIZUNGUMZA HATA KAMA WANAKISEMA KWA LUGHA YA KUZUNGUKA BASI TAMBUA MIOYONI MWAO WANA MAANISHA,ISSUE SIYO KUTAJWA WAARABU AU UZANZIBAR,ISHU HAPO NI CHUKI ZAO ZA UDINI ZILIZOWAJAA...

KIPINDI KILE KIKWETE ANAONGOZA TAIFA HILI,BADALA YA WAO KUMKOSOA YEYE KAMA MTALAWA NA RAIS WA NCHI HII,WALIKUWA WANAKUJA NA HOJA YA KWAMBA HAWA WAISLAM WANA MAMBO YA UARABU UARABU HAWA NA USWAHILI HAWAWEZI KUONGOZA NCHI HII,NA HIKI NDICHO KINACHOTOKEA KWA HUYU SAMIA VILE VILE,KAMA WANATAKA KUMKOSOA WAMKOSOE KWA HOJA BILA YA KUGUSA ASILI YA IMANI YAKE WALA ANAKOTOKEA,HILO TUTASIMAMA NAE HATA IWEJE.
 
Sheikh Mangungu Big Show, hebu punguza ushabiki na tumia akili.

Ni dhahiri wewe ni mtupu kisiasa na kidini, isipokuwa umejaaliwa ushabiki maandazi.

Abadan siwezi mnanga mtu sababu ya imani yake, hapo nitakuwa nakosea. Lakini ikiwa umeibiwa na mwizi ni mmakonde, nitakosea nikisema nimeibiwa na fulani mwenye asili ya kimakonde??

Najua nafsi yako imejawa na huba ya kiitikadi lakini kinachokuangusha ni upeo wako mdogo wa kuweza kutetea itikadi yako kiasi cha kushindwa kutofautisha asili ya mtu na imani yake.

Kuandika kwa herufi kubwa kunamithilika na kupiga kelele katika fasihi andishi, hivyo hapa unachoandika kwa capital letters ni mithili ya mpiga kelele asiekuwa na mantiki.
 
KWANZA MLIANZA NYINYI MAKAFIRI KUTAKA KUJIMILIKISHA VITU NA RASILIMALI ZA NCHI HII,WEWE ULISKIA WAPI RASILIMALI NCHI HII IPO KARNE NA KARNE ETI KISHA ANAKUJA KAFIR MMOJA ANASEMA MLIMA HUU UMEGUNDULIWA NA DR LIVINGSTONE,..!!

NAJUA MNAUMIA SANA MAKAFIRI NCHI HII KILA MUISLAM AKISHIKA DOLA,SASA HIVI TUTAZUNGUMZA LUGHA MNAYOZUNGUMZA NA BILA SHAKA TUTAELEWANA TUH,SASA HATA KAMA VATICAN WANAITAKA NCHI HII TUNAWAPA VIPI NA WAO HAWANA HELA WANA MISALABA TUH NA SANAMU LA YESU KRISTO??
Ushaleta udini
 
Eh bhana eee leo nimejaribu kutengeneza picha kutumia IA naona nimeweza, kumbe n rahisi tuu hvy
Picsart_24-08-20_13-23-43-615.jpg
 
Sheikh Mangungu Big Show, hebu punguza ushabiki na tumia akili.

Ni dhahiri wewe ni mtupu kisiasa na kidini, isipokuwa umejaaliwa ushabiki maandazi.

Abadan siwezi mnanga mtu sababu ya imani yake, hapo nitakuwa nakosea. Lakini ikiwa umeibiwa na mwizi ni mmakonde, nitakosea nikisema nimeibiwa na fulani mwenye asili ya kimakonde??

Najua nafsi yako imejawa na huba ya kiitikadi lakini kinachokuangusha ni upeo wako wa kuweza kutetea itikadi yako kiasi cha kushindwa kutofautisha asili ya mtu na imani yake.

Kuandika kwa herufi kubwa kunamithilika na kupiga kelele katika fasihi andishi, hivyo hapa unachoandika kwa capital letters ni mithili ya mpiga kelele asiekuwa na mantiki.
HOW CAN YOU JUDGE MY STUPIDITY,IGNORANCE OR EVEN CLEVERNESS JUST BY RELYING ON MY WRITING STYLE OF USING CAPITAL LETTER??

MAY BE YOU ARE AMONG THOSE WHO ARE LOW PROFILE IN THIS FORUM,THOSE WHO ARE FAMILIAR TO ME,THEY KNOW EXACTLY WHO I AM AND WHAT M I STANDING FOR...GET USED TO IT...
 
HOW CAN YOU JUDGE MY STUPIDITY,IGNORANCE OR EVEN CLEVERNESS JUST BY RELYING ON MY WRITING STYLE OF USING CAPITAL LETTER??

MAY BE YOU ARE AMONG THOSE WHO ARE LOW PROFILE IN THIS FORUM,THOSE ARE FAMILIAR TO ME,THEY KNOW EXACTLY WHO I AM AND WHAT M I STANDING FOR...GET USED TO IT...
I really hate to burst your bubble, but I have no idea who you are but judging from your 2 comments above, boy am I glad not to have known you.

Unless you are the real Big Show, the wrestler, which I doubt😂😂😂😂.
 
No kweli!

Mimi ni muumini wa serikali Moja na sio mbili!!
Hakuna ndoa nusu Bali ndoa nzima nzima!!

Serikali mbili ni kituko kabisa!!
Ndio inazaa changamoto za muungano!!
Hii Si ndoa labda useme ndoa ya mashoga. Hakuna muungano bali ni uvamizi. Hakuna Mzanzibari aliulizwa wala mtanganyika. Ni uvamizi wa Nyerere kwa Zanzibar
 
I really hate to burst your bubble, but I have no idea who you are but judging from your 2 comments above, boy am I glad not to have known you.

Unless you are the real Big Show, the wrestler, which I doubt😂😂😂😂
YOU ARE JUST A LOW PROFILE,YOU CAN NOT WRESTLE WITH ME THE BIG SHOW,I DECIDED TO JOIN THIS FORUM WITH MY VERY VISIONS,MISSIONS AND CORE VALUES,AND THOSE ARE MY PILLARS AND IDENTITY.
 
Hello!

Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka.
Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority.

Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine.

Mfutaji ni Waziri wa TAMISEMI MR. MCHENGERWA, ila kwa mujibu wa katiba hana mamlaka ya kufanya hivyo, maana yake ni kwamba amefuta kwa amri ya Rais.

Pia soma: Kuna kero za muungano au muungano ni kero?

Atatokea mtu mwenye hasira ataifuta Zanzibar yote kulipa kisasi, au atatokea mtu mwingine kutoka Zanzibar ataifuta Arusha, Moshi na Tanga au Mikoa zaidi ya 10 kwa pamoja tisipoangalia.

Mtoto huwa anaanza kutest vitu, anagusa kitu halafu anaangalia sura ya mzazi wake ili aone reaction yake. Akiona mzazi ametabasamu anajua this is good akiona mzazi amekunja uso anaacha.

Uzi huu hauko kichama, kama mtu atatoa comment based on his/her political influenza basi huyo ni tahira.
Akafute vijini kule kwao Kizmkazi sio hapa kwetu.
 
YOU ARE JUST A LOW PROFILE,YOU CAN NOT WRESTLE WITH ME THE BIG SHOW,I DECIDED TO JOIN THIS FORUM WITH MY VERY VISIONS,MISSIONS AND CORE VALUES,AND THOSE ARE MY PILLARS AND IDENTITY.

To further affirm my thoughts of your being 'intellectually challenged', you resorted for no reason whatsoever to reply in English, in hopes that it will somehow portray you as more informed/intelligent.

News flash bro, kama ilivyo kiarabu sio uislam basi halkdhalika Kiingereza sio usomi/uelewa; zote ni lugha tu kama Kinyaturu😂😂😂.

Dude for a person with 'values' you should have been more original with the name than 'Big Show'.

Bragging of profiles behind a keyboard. Pathetic. Arguing with you is a waste of brain use.

I commend you though, for being steadfast at standing by your pillars and beliefs of stupidity. You have been consistent at that😂😂😂😂😂😂
 
KWANZA MLIANZA NYINYI MAKAFIRI KUTAKA KUJIMILIKISHA VITU NA RASILIMALI ZA NCHI HII,WEWE ULISKIA WAPI RASILIMALI NCHI HII IPO KARNE NA KARNE ETI KISHA ANAKUJA KAFIR MMOJA ANASEMA MLIMA HUU UMEGUNDULIWA NA DR LIVINGSTONE,..!!

NAJUA MNAUMIA SANA MAKAFIRI NCHI HII KILA MUISLAM AKISHIKA DOLA,SASA HIVI TUTAZUNGUMZA LUGHA MNAYOZUNGUMZA NA BILA SHAKA TUTAELEWANA TUH,SASA HATA KAMA VATICAN WANAITAKA NCHI HII TUNAWAPA VIPI NA WAO HAWANA HELA WANA MISALABA TUH NA SANAMU LA YESU KRISTO??
Wewe GAIDI sikia haya mambo sio kwamba yatatutinga sisi tu makafiri tambua hadi ninyi mafala yatawatinga na hamtakuwa na mahali pakukimbilia sababu hata nchi nyingi za mafala ni hazina amani ni ugaidi tu lkn pia hawawezi wakawapokea sababu nyie sio waarabu.
 
Back
Top Bottom