Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

Kuna siku utaelewa kuwa kafiri ni wazazi wako.
 
Mungu yupo ukikaza unakufa unazikwa yako wapi si walikuwepo, na uzee wa 64+ kwenda 65 historia kujirudia ni kawaida sana tungoje muda Ubaya kwa Ubaya
 
Sasa mimi nitoe ushsuri: Yule anayetaka huu muungano uvunjike kikwelikweli naamue au atangaze tu kwamba ama Zanzibar imefutwa au Tanzania imefutwa.
Hahaha,
Kwanza nicheke.

Mkuu, bahati nzuri macho ya chura hayazuii ng'ombe kunywa maji.

Pesa nyingi ya Tanganyika inayotapanywa huku Zenji haiwezi kupotea bure.

Wakati Bara kuna majengo mengi ya shule hayakidhi viwango, Majengo mazuri tu ya shule za msingi huku Zenji yanabomolewa na kujengwa maghorofa, barabara nzima za lami hata zilizojengwa 2020 zinavunjwa na kujenga imara zaidi za kudumu miaka mingi (kama zile za mwendo kasi Dar), nk, nk..

Hizo sheria unazosema sio msahafu, zinatungwa, kurekebishwa, kutenguliwa, kufutwa na kutungwa upya na watu.

Ideally, ili kufidia gharama hizi kutoka Tanganyika, itabidi tu Zenji iwe kama kisiwa cha Mafia, yaani wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani. Haitafutwa, ila itakuwa wilaya
 
Zanzibar isinge ungana na Tanganyika basi leo hii Zanzibar ingekua moja ya nchi Tajiri sana Africa
 
Ustaadh Bashiruu alitaka kupindua katiba ili ustaadh huyu asiwe namba 1. Ila kafiri yule bakabaka akasimama kidete hadi huyu akala kiapo. Umesahau hilo?
Huku nje mnasema muislam ndugu yake muislam hahahaa
 
Hivi na sisi marastafarii ni makafiri😁 ILA DINI BWANA ngoja niendelee kugonga mvinyo
 
Hahaha,
Kwanza nicheke.
Mkuu endelea kucheka
Mkuu, bahati nzuri macho ya chura hayazuii ng'ombe kunywa maji.
Hapa umesema kweli, kweli tupu
Pesa nyingi ya Tanganyika inayotapanywa huku Zenji haiwezi kupotea bure.
Hapa hujasema kweli. Kuna pesa ambayo ni mgawanyo wa mapato inayopaswa kuwa ya Zanzibar. Pesa hiyo huwa hailetwi kwa sababu ya ubinafsi wa watu wenye mawazo kama yako, wanaodhani kwamba hiyo ni hisani au upendeleo kwa Zanzibar, jambo ambalo ni kinyume na makubaliano/mkataba wa muungano.
Majengo yanayojengwa Zanzibar ni kwa kutumia pesa za Zanzibar na sio kwa pesa za nchi au mtu yeyote. Uchoyo na roho mbaya huwa ni mambo yasiyosaidia, sanasana unaweza kupata presha.
Hizo sheria unazosema sio msahafu, zinatungwa, kurekebishwa, kutenguliwa, kufutwa na kutungwa upya na watu.
Ni kweli sheria zinaweza kutenguliwa na kutungwa na watu. Ikifanyika hivyo hakuna tatiza kwani ni kwa mujibu wa sheria, nami nimkuambia mapema kwamba muungano ni jambo la kisheria.
Ideally, ili kufidia gharama hizi kutoka Tanganyika, itabidi tu Zenji iwe kama kisiwa cha Mafia, yaani wilaya mojawapo ya mkoa wa Pwani. Haitafutwa, ila itakuwa wilaya
Hili la kuwa wilaya ya Mkoa wa Pwani halina tatizo, kama ingekuwa inawezekana. Bahati mbaya hilo haliwezekani bila ridhaa ya Zanzibar.
Haitafutwa, ila itakuwa wilaya
Ewaa; hapa sasa tumeelewana kwasababu sasa umeelewa niliyokuwa nasema.

Hilo la kuwa wilaya litafanyika tu kwa ridhaa ya pande mbili za muungano na sio vingine. Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo wewe ukipenda au ukichukia, kwani hayo si mamlaka yako.
 
Umejitahidi kujibu mkuu, baadhi sawa mengine sivyo!
Tuishie hapo
 
Hivi sasa huko mambo shwari.
Jee ya Zanzibar yamehamia Bara?
Mvutano wa kisiasa kati ya CCM na Chadema
Huko nyuma tulishuhudia kati ya cuf na CCM zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…