Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

Huu mvutano wa wanaume na wanawake tuumalize

Andazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
1,113
Reaction score
2,234
Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame

WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe

WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki

Kuna thread moja bidada anasema kuhusu tendo na kumfirahisha Mume. Kiumbe cha mungu binti mmoja anacomment, hata upande juu yabati sijui nn kutulia ahamie mwenyewe.

Wote wanavutia kamba sehemu yake
Pole uandishi mbaya

ILA MADEMU MNAZINGUA MNOOOOOO 😊 mchango wangu mapema

POVU RUKSAAAA PESA YA SODA NJOO UFATE GHETO
 
Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame

WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe

WANAUME: Mademu wanazungua majukumu ya baba zao wanatupa sisi hata umpende vipi hawapendeki

Kuna thread moja bidada anasema kuhusu tendo na kumfirahisha Mume. Kiumbe cha mungu binti mmoja anacomment, hata upande juu yabati sijui nn kutulia ahamie mwenyewe.

Wote wanavutia kamba sehemu yake
Pole uandishi mbaya

ILA MADEMU MNAZINGUA MNOOOOOO [emoji4] mchango wangu mapema

POVU RUKSAAAA PESA YA SODA NJOO UFATE GHETO
Mwanamke au mwanamme anayelalamikia mahusiano automatically ni loser type na hajielewi.

Ama kashindwa kuchagua mtu sahihi, ama kashindwa kutoka kwenye mahusiano yasiyo sawa, ama kaharibu pote hapo.

Mwanamme anatakiwa kuwa na mwanamke anayemuheshimu na kumpenda kiasi kwamba asiwe na sababu ya kulalamika, na mwanamke hivyo hivyo.

Yani kama kulalamika ulalamike mpenzi wako anakununulia zawadi sana.

"Yani baby umeninunulia Range Rover wakati BMW langu X7 bado jipya..., khaaa, mbona nitavimbiwa zawadiiii?"

Huwezi kumsikia Kiranga analalamikia mahusiano, labda alalamike wanawake wengi wanamng'ang'ania, na hata hapo kitu hicho ni kigumu.

Yani dunia yenye mabilioni yote ya watu unakosaje kumpata mtu mnayeendana vizuri?
 
Back
Top Bottom