Leo nimekua disappointed sana asee,kumbe sie wengine tunapigwa na jua hapa mjini kumbe Kuna vijana mpo magetini mnafinya computer na. Simu tu then mnapata pesa?
To cut the story long short ipo hivi!
Recently Instagram na Facebook nimekua nikiona ads nyingi sana kuhusu adult contents mara ooh connection ya msanii flan na kadhalika
Siku zote watu hukupa njia za kutafuta, hawakupi njia za mafanikio, unaweza kuambiwa ili uwe tajiri fungua duka, lakini huwezi ambiwa namna ya kusimamia na kulikuza duka ili kufanikisha ndoto ya kuwa tajiri.
*Mzee kwanza lazima uwe na platform ya kusambazia hizo links either Whatsapp channels,groups, telegram nk
*Au unanunua account za insta na Facebook in bulk kwaajili ya kuuza links huko meta ads bila kulipia (hapa Kuna ujanja wake)
*Hizo links lazima usimask ili zisipigwe au kuharibu hizo account zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.