Huu mwaka kweli wangu, maana majanga hayaishi

Siwezi kustop fikra zako mkuu, na uzuri wa hapa ni kila mmoja nivyema nikaheshimu mawazo yake pia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wanaume wanaweka heshima kwa wengine ila hudharau au kudhalilisha wake zao. Acha hizo, mambo ya mke kufua vikanga vya mikojo ya usiku hukutakiwa kuitangazia dunia.

Haya heshima isiishie humu iende kwa mkeo.
 
Kuna wanaume wanaweka heshima kwa wengine ila hudharau au kudhalilisha wake zao. Acha hizo, mambo ya mke kufua vikanga vya mikojo ya usiku hukutakiwa kuitangazia dunia.

Haya heshima isiishie humu iende kwa mkeo.
Nafikiri unalo laziada zaidi ya hapa. Naomba nikupuuze tu mkuu kwasababu sisi kwetu bado hatuna uwezo wa kununua nepi ama Pampers kama mnavyo fanya ninyi na mkeo.
Na bado nitaendelea kusema basi tunatumia vipande vya khanga kwaajili ya kumfungia mtoto wetu.
Haya endelea wewe mwenye uwezo mzuri wa kimaisha kuitangazia dunia kwamba kuwa mwenye maisha ya chini ni kujidhalilisha.
By the way naomba nikushangae kukomaza shingo kwenye thread ambayo wazi ipo kwenye jukwaa la chitchat, na bona haujasema najidhalilisha mwenyewe kwa kuangusha msuli nilio jifunga..??
Nadhani bilashaka utakuwa una lako jambo la ziada lililo jificha, yaani wewe ndio ujifanye kuitangazia dunia kwamba unajuwa saaaaana kumtetea mke wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka na picha ya kusindikizia hiyo hadithi
 
Kuna wanaume wanaweka heshima kwa wengine ila hudharau au kudhalilisha wake zao. Acha hizo, mambo ya mke kufua vikanga vya mikojo ya usiku hukutakiwa kuitangazia dunia.

Haya heshima isiishie humu iende kwa mkeo.
Naona tezi dume imekupanda kichwani hadi unajikuta unadandia magari kwa mbele, ebu usinletee unyambis ga'Dem it I'm not here to fulfill your happiness kijana.
Na kamwe usije ukajipima my personal life with you're life binti. Usipende kabisa kudandia mada kama unajiona hautoshi ama kujifanya mtetezi wa mke wangu kwa jukwaa la ChitChat, maana naona kama nimekupuuza sana lakini sasa inazidi kuvuka mpaka.
Yaani wewe neno pekee ulilo liona ni vipande vya khanga alivyo kojolea mtoto tu... Hivi unadhani kama wote tukiandika some though threads nani ataandika lough threads..??
By the way, kwa mtazamo wako huo naona basi hata tumwambie JamiiForums afute jukwaa la ChitChat kub@b@ko.
Tena ukome kabisa kutafuta umaarufu kwa kupitia migongo ya watu qum@nin@ zako.
Hili ni onyo kwako kijana, pia nakupa pole kwa kuugua sijui kituganu dume hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwanaume wa kweli hapanick, hatokwi povu na wala hatoi maneno mbovu mbofu. He will remain cool, calm and collected in a heated debate.


Bila kumung'unya maneno, umemdhalilisha mkeo, yupo kuwa anafua vikanga vya mikojo ya usiku!

Nani kikojozi kati yako na yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…