Huu mwaka tuliwaambia Wakenya

Hamna commuter rail transport. Kama mko nayo tuonyeshe their routes, stations and time schedule
 
Si eti tunalinganisha ,
But Nairobi Commuter Railway carries over 40,000 commuters daily/ 15m per annum...and is 100Km in coverage...
The plan is to increase the capacity 4 times with the existing rail to 60m.. in phase 1

Phase 2 and 3 will expand the railway to outer towns in the nairobi metropolis



 
Hamna commuter rail transport. Kama mko nayo tuonyeshe their routes, stations and time schedule
Tatizo lako huwa unadhani kila mtu anajiandikia tu humu ovyo vitu asivyo vijua kama wewe.

 
Wewe ulikuwa unadhani kuwa Dar Es Salaam hakuna commuter rail baada ya kukufunza naona unabadilisha gear [emoji23]

Mwingine kasema commuter rail hakuna nishampa ratiba nasubiri nione anaruka sarakasi gani tena [emoji23]
 
Define the term three level interchange? Pangani three level interchange has been there long time even before Magufuli knew he could be president.
Hii Ni two levels if yao ni three levels
 
Toeni ujinga huo
 
Wewe ulikuwa unadhani kuwa Dar Es Salaam hakuna commuter rail baada ya kukufunza naona unabadilisha gear [emoji23]

Mwingine kasema commuter rail hakuna nishampa ratiba nasubiri nione anaruka sarakasi gani tena [emoji23]
nani amesema hakuna?
lakini Dar its only 30kms na inabebaba 9000 commuters only kwa siku...

Ilhali Nairobi commuter Rail ni 100kms inabeba 41000 commuters daily...

Unaona kwa nini mipango ya Nairobi ni ya railway....BRT ni kurudi nyuma hapa kwetu

Lakini labda nyinyi mna mipango mingine... kila nchi na shida zake...

Hapa Nairobi BRT haiwezi saidia....
 
lwiva,

You are doing what Kenya did 20 years ago. That means that Tanzania is 20 yrs behind Kenya,

😂😂😂😂 Kenya ya 80s ndio Tanzania ya 2025
😂😂😂😂 Kenya ya 80s ndio Tanzania ya 2025
Nimewaambia mnafanya vitu Kenya did 20 years ago. Even Nakuru is 3 years ahead of Dar.
3 level interchange iko Kenya broh. We are now building the second one in Mombasa.
I dare you to show me just one BRT that was done 20 years ago, in Kenya.[/QUOTE]
lwiva,
Pole zipo nyingi Kenya hadi tumezichoka. Naelewa ni big deal LDC
 
Kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili Sanifu ya Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili neno LIMBUKENI maana yake ni "mtu anayetumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza", kwa mfano mtoto alyenunuliwa viatu vipya na mzazi wake kwa mara ya kwanza, anapotoka kwenda kuwaonesha na kuwatambia wenzake kwamba waone kama ana viatu vipya, huyu ni limbukeni , wakati hajui kwamba kumbe wenzake wana jozi kadhaa za viatu vipya tena vizuri zaidi ya alivyonavy yeye, na kununuliwa viatu na wazazi ni jambo la kawaida.

Uzuri wa kitu unapimwa kwa kulinganisha na uzuri wa kingine, hivyo kabla kutoka sifa za kitu chako ulichonacho ni vema kwanza ukafanya utafiti kuhusu walivyo navyo wenzako, vinginevyo unaweza kutoa sifa kwa kitu ambacho kiuhalisia ukinganisha na wenzako utaonekana wewe mbumbumbu au limbukeni
 
BRT yetu inabeba abiria laki mbili kwa siku..
 


Eti BRT haiwezi kusaidia [emoji23]

Tatizo serikali yenu inawaogopa wamiliki wa matatu kingine miundombinu yenu mmejenga kizamani sana

Hivi si Dar es salaam ndio jiji lenye watu wengi kuliko Nairobi?

Ujenzi wa BRT awamu ya pili Mbagala unaelekea kumalizika,

Pia awamu ya tatu ipo njiani kuanza,

Nyie endeleeni na sizitaki mbichi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…