Kuna dereva wengine huwa ni wabishi, pia hata baadhi ya abiria wapo ambao hushabikia mwendo kasi wa hatari ili wawahi kufika.Si umwambie dereva apunguze mwendo maana wewe ndo uko kwenye hilo bas. kama umeshinda kumwambia mimi sioni haja ya wewe kuja kuanzisha uzi unalalama, labda una haja kubwa[emoji2][emoji2] subiri tu dereva atasimamisha bas uchimbe dawa.