jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kumekuwepo na wimbi au mwenendo wa wanasiasa au wanasheria au watu binafsi kujaribu kutumia Mahakama ndivyo sivyo.
Yaani kupeleka mashauri yenye kuichosha mahakama au kuitumia kama chombo cha kisiasa au chombo cha kukwepa uwajibikaji. Hivi sasa imekuwa ni fasheni kuitumia mahakama kudai fedha ambazo kimsingi sio halisia na hakali.
Tunatengeneza mwenendo wa kuogofya jamii kutoa maoni mbalimbali kwa kutumia sheria na Mahakama.
Ifike mahali tutambue na kuheshimu Mahakama lakini pia Mahakama yenyewe itambue kuwa imeanza kutumiwa vibaya.
Iwapo kila muhimili na kila sekta ikaruhusu kutumika kisiasa basi ni wazi thamani yake mbele ya jamii itashuka sana. Tuwe makini na tupinge abuse hii ya Mahakama zetu.
Wahuni wazoefu wamepata chaka jingine la kuendeleza uhuni wao.
Wahuni walitupiga sana kupitia MIGA na wanataka kuendelea kutupiga kwa mfumo huo huo...walijifunza ughaibuni.TUWE MACHO.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!!