Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Diamond aonyesha mjengo wake anaoujenga na ulipofikia mpaka kwa sasa, tazama hapa picha uone jinsi ilivyofikia

Si anajisifu Ana hela. Mbona anasua sua hivi kumalizia tangu December last year iko level hiyo hiyo hadi Alli Kiba amemaliza finishing japo wanadai amekopa kwenye taasisi ya Riz1, basi asione noma akakope na yeye.
 
Hawa bongo fleva hawaeleweki, kama VX tu alihongwa na dume mwenzie, basi hata hii nyumba inawezekana anajengewa. kwa hiyo maswali haya tunatakiwa tumuulize Ostaz juma, Chief kiumbe....
 
Hyo nyumba toka 2012 hadi Leo bado tu? Si alisema show Moja anapiga ml 10 sasa toka
Mwaka juzi hadi leo hajaimalizia au anajenga hekalu , wasanii waache sifa za kijinga
 
Hiz nyumba haziishag tu kila siku anajenga lol! !!
 
Hahahaa labda cement ya kumalizia ndo inachimbwa mwaka huu haijawa processed..au pesa yake ya kununulia material za finishing haijaprintiwa bado
 
hyo nyumba toka 2012 hadi leo bado tu? Si alisema show moja anapiga ml 10 sasa toka
mwaka juzi hadi leo hajaimalizia au anajenga hekalu , wasanii waache sifa za kijinga

labda kaagiza material ulaya sasa meli ilipoteza mwelekeo.
 
Wanatuzuga tu apa , we mtu kwa wiki ulipwe m 10 halafu uishi nyumba ya kupanga inaingia akilini..akafie mbele uko

Ha ha ha binamu kijana ana maisha magumu huyo utamuonea huruma roho inaniuma sana wanavyomuharibu......
 
Hyo nyumba toka 2012 hadi Leo bado tu? Si alisema show Moja anapiga ml 10 sasa toka
Mwaka juzi hadi leo hajaimalizia au anajenga hekalu , wasanii waache sifa za kijinga

Mkuu labda familia imeongezeka, si kuna ujio wa uyu MAWE, we unajua gharama zake kumtunza???lazima speed ipungue bana...Kwi kwi kwi kwi
Okay ila Anajitahidi, wengine hawana hata kiwanja
 
kwa pesa wanayosema anamiliki daimond ilibidi nyumba imeshaisha kitambo mi nahisi kuna investment nyingine anafanya so inasababisha ujenzi kusuasua
 
Nini ufahari wa nyumba hiyo?mbona yakawaida ndio wengi tumeanzia maisha kabla ya kula upepo wa juu
 
Mmh tuko.busy nayasiyotuhusu hongera zake anajitahidi.
 
Nilisikia ana maduka ya nguo nashangaa hayarushwi tukayaona lakin kuvumishiwa ana pesa ni balaaa
 
Nilisikia ana maduka ya nguo nashangaa hayarushwi tukayaona lakin kuvumishiwa ana pesa ni balaaa

Acha tu binamu, unaambiwa diamond millionaire, sasa nashangaa millionaire kukaa nyumba ya kupanga tena Sinza, Mara mia angepanga apartment za kule masaki ili tuuone uo ustaa wake
 
Back
Top Bottom