Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si anajisifu Ana hela. Mbona anasua sua hivi kumalizia tangu December last year iko level hiyo hiyo hadi Alli Kiba amemaliza finishing japo wanadai amekopa kwenye taasisi ya Riz1, basi asione noma akakope na yeye.
Hahahaa labda cement ya kumalizia ndo inachimbwa mwaka huu haijawa processed..au pesa yake ya kununulia material za finishing haijaprintiwa bado
hyo nyumba toka 2012 hadi leo bado tu? Si alisema show moja anapiga ml 10 sasa toka
mwaka juzi hadi leo hajaimalizia au anajenga hekalu , wasanii waache sifa za kijinga
labda kaagiza material ulaya sasa meli ilipoteza mwelekeo.
Wanatuzuga tu apa , we mtu kwa wiki ulipwe m 10 halafu uishi nyumba ya kupanga inaingia akilini..akafie mbele uko
Hyo nyumba toka 2012 hadi Leo bado tu? Si alisema show Moja anapiga ml 10 sasa toka
Mwaka juzi hadi leo hajaimalizia au anajenga hekalu , wasanii waache sifa za kijinga
Nini ufahari wa nyumba hiyo?mbona yakawaida ndio wengi tumeanzia maisha kabla ya kula upepo wa juu
Nilisikia ana maduka ya nguo nashangaa hayarushwi tukayaona lakin kuvumishiwa ana pesa ni balaaa