Acha tu binamu, unaambiwa diamond millionaire, sasa nashangaa millionaire kukaa nyumba ya kupanga tena Sinza, Mara mia angepanga apartment za kule masaki ili tuuone uo ustaa wake
Yaan mmhhhhhh bora wangekua wananyamaza tu sio kutupigia keleleeew
Acha tu binamu, unaambiwa diamond millionaire, sasa nashangaa millionaire kukaa nyumba ya kupanga tena Sinza, Mara mia angepanga apartment za kule masaki ili tuuone uo ustaa wake
Majukumu jameni majukumu si unajua zinahitajika mil 400 za kumfufulia beiby ile kampuniHiz nyumba haziishag tu kila siku anajenga lol! !!
Majukumu jameni majukumu si unajua zinahitajika mil 400 za kumfufulia beiby ile kampuni
alionyang'anywa???
Mi sijui hata nisaidie kumuuliza h.o.dHahhhahhhhahhhaaaa nilisahau kwan ashamnunulia! !!!!!!!thubutuuuu
Ninge mshauri Diamond atulie kwanza nyumbaa hiishe kwanza ndio alete picha.
Mi sijui hata nisaidie kumuuliza h.o.d
Wanatuzuga tu apa , we mtu kwa wiki ulipwe m 10 halafu uishi nyumba ya kupanga inaingia akilini..akafie mbele uko
Duh lini tena teh huyu mkaka nae hana bahati....Ana mahasira ya kutukanwa na Halima Kimwanaa
Nilisikia ana maduka ya nguo nashangaa hayarushwi tukayaona lakin kuvumishiwa ana pesa ni balaaa
hivi watu mnaoponda diamond mbona hamalizi kujenga! hivi watu swala la kujenga mnalichukulia easy sana eehh!!! na mnajua anajenga vitu vingapi kwa mpigo?? binafsi naona kapiga hatua sana nikianglia picha za hiyo swiming za mwezi uliopita na hizi za jana kuna development.