Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Acha tu binamu, unaambiwa diamond millionaire, sasa nashangaa millionaire kukaa nyumba ya kupanga tena Sinza, Mara mia angepanga apartment za kule masaki ili tuuone uo ustaa wake

Yaan mmhhhhhh bora wangekua wananyamaza tu sio kutupigia keleleeew
 
Yaan mmhhhhhh bora wangekua wananyamaza tu sio kutupigia keleleeew

Bora ata jide mali zake zinajulikana, magari , nyumba na mgahawa wake, hawa wengine wanatuletea stori za ajabu ajabu kazi kupiga picha nyumba za watu na Ku upload mitandaon
 
Acha tu binamu, unaambiwa diamond millionaire, sasa nashangaa millionaire kukaa nyumba ya kupanga tena Sinza, Mara mia angepanga apartment za kule masaki ili tuuone uo ustaa wake

Nyumba yake hikiisha ataamia
 
Hiyo nyumba toka 2012 inajengwa haikamiliki kama barabara za strabag, kwa mkwaja wake angekua ameshajenga zaidi ya nyumba 5 za maana, au show wanamkopa nini
 
Kawaidaa sanaa !!!haina haja ya showoff ushamba mzigo
 
Ninge mshauri Diamond atulie kwanza nyumbaa hiishe kwanza ndio alete picha.
 
nyumba ya kifahari?????!!!! ebu muda mwingine muwe mnashirikisha hizo akili zenu kabla hamjapost!!
 
Ninge mshauri Diamond atulie kwanza nyumbaa hiishe kwanza ndio alete picha.

Hawezi kuturia maana Alli Kiba ametoa picha za nyumba yake last week imekamilika baada ya kupata mkopo kwenye taasisi ya Riz1, yeye hawezi kuomba mkopo kule maana Domo aliponda sana, mpaka Riz1 alitoa post FB kumlaumu domo.
 
hivi watu mnaoponda diamond mbona hamalizi kujenga! hivi watu swala la kujenga mnalichukulia easy sana eehh!!! na mnajua anajenga vitu vingapi kwa mpigo?? binafsi naona kapiga hatua sana nikianglia picha za hiyo swiming za mwezi uliopita na hizi za jana kuna development.
 
Wanatuzuga tu apa , we mtu kwa wiki ulipwe m 10 halafu uishi nyumba ya kupanga inaingia akilini..akafie mbele uko

kwan wema fungu lake ushahesabia, magazet yanayomweka front page! abarikiwe museven
 
Nilisikia ana maduka ya nguo nashangaa hayarushwi tukayaona lakin kuvumishiwa ana pesa ni balaaa

Bora useme, manake anavumishiwa ile mbaya, oooh ana pesa east africa nzima hakuna anaye mfikia.
 
hivi watu mnaoponda diamond mbona hamalizi kujenga! hivi watu swala la kujenga mnalichukulia easy sana eehh!!! na mnajua anajenga vitu vingapi kwa mpigo?? binafsi naona kapiga hatua sana nikianglia picha za hiyo swiming za mwezi uliopita na hizi za jana kuna development.

Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani
 
Back
Top Bottom