Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani
Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani
unajua anafanya project ngapi at the same time?? na amekwambia ameshindwa?? unajua nyumba hiyo ilianza kujengwa lini na unajua so far ametumia sh ngapi?Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani
unajua anafanya project ngapi at the same time?? na amekwambia ameshindwa?? unajua nyumba hiyo ilianza kujengwa lini na unajua so far ametumia sh ngapi?
sidani kama hiyo ishu ya alikoba ni kweli nahisi watu walihack account ya kala jemeiah na yeye mwenyewe alikiba kupost ili kuiboost hiyo org inyotoa mikopo kwa watuManeno Mengi hana kitu huyo! alishatoa post ya hiyo nyumba, baada ya Alli Kiba kutoa nae ameitoa tena! Anaipenda nyumba yake angekuwa na hela angekuwa ameshamaliza, na asitudanganye thamani ya ya kujenga hiyo tunajua bei za material ya ujenzi, mbona tumejenga.
sidani kama hiyo ishu ya alikoba ni kweli nahisi watu walihack account ya kala jemeiah na yeye mwenyewe alikiba kupost ili kuiboost hiyo org inyotoa mikopo kwa watu
Watu wanausifu huo mjengo kwangu ni mjengo wa kawaida kabisa. Mbona swimming pool umekaa kama vile cesspit tank. Muelezeni atafute mtalaam wa kujenga swimming pool.
Naona kamechisha hayo mavazi yake na Hizo Bomba za BLUE BLUE !
Lini huyu jamaa tutamwona kwenye Grammys?
i assume humaanishi tuzo.
tuanze kumuombea kisima, kora, mtv na vitu.kama hivo.