Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Huu Ndio Mjengo wa Kifahari Anaoujenga Msanii Diamond Platinumz.

Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani

labda anatumia sana kwenya msosi na kuweka mafuta, maana v8 sio mchezo, halafu c unajua ana familia kama mbili nje zote zinamtegemea so unakuta budget zinaingiliana
 
Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani

Halaf tunaambiwa ni jumba la kifaharii,!!!!!wanayajua majumba ya kifahari au!!!!halaf hilo swimming pool huko mbelen kama halijawa shimo la kumwagia takatakaa
 
Mil 10 kwa show ashindwe kujenga hicho kibanda, au nyumba ya jirani
unajua anafanya project ngapi at the same time?? na amekwambia ameshindwa?? unajua nyumba hiyo ilianza kujengwa lini na unajua so far ametumia sh ngapi?
 
unajua anafanya project ngapi at the same time?? na amekwambia ameshindwa?? unajua nyumba hiyo ilianza kujengwa lini na unajua so far ametumia sh ngapi?

Maneno Mengi hana kitu huyo! alishatoa post ya hiyo nyumba, baada ya Alli Kiba kutoa nae ameitoa tena! Anaipenda nyumba yake angekuwa na hela angekuwa ameshamaliza, na asitudanganye thamani ya ya kujenga hiyo tunajua bei za material ya ujenzi, mbona tumejenga.
 
sidani kama hiyo ishu ya alikoba ni kweli nahisi watu walihack account ya kala jemeiah na yeye mwenyewe alikiba kupost ili kuiboost hiyo org inyotoa mikopo kwa watu
 
Watu wanausifu huo mjengo kwangu ni mjengo wa kawaida kabisa. Mbona swimming pool umekaa kama vile cesspit tank. Muelezeni atafute mtalaam wa kujenga swimming pool.
 
sidani kama hiyo ishu ya alikoba ni kweli nahisi watu walihack account ya kala jemeiah na yeye mwenyewe alikiba kupost ili kuiboost hiyo org inyotoa mikopo kwa watu

Hapana mkuu hawaku hack acc yake mbona alijibu akasema maisha ni duara, wapo matajiri nao wanashinda bank wanaomba mkopo, kama na yeye anataka mkopo akakope! Akatoa na link ya mkopo! Pia Riz1 walilaani sana Domo kukandya. Akakope tu mkuu mtu anajipakazia kanunua VX kumbe la Chief Kiumbe! Muongo sana huyo dogo.
 
Hata kiwanja chenyewe inaonyesha ni cha kuungaunga hebu angalia jinsi alivyoibana nyumba na ukuta upande wa kulia!kuna tofauti gani na nyumba za vingunguti? Hilo bwawa si litakuwa choo cha njiwa wa jirani... kweli staa bongo mawazo.
 
Yani diamond tokea aanze kujitangaza anajenga nyumba sijui ngapi mpaka leo hajamaliza ata moja kila siku yuko site nyumba kuisha haziishi yupo tu kwenye nyumba ya kupanga mpaka leo
 
shame on you...anakushinda mpaka Ngassa wa yanga....tunashukuru,ila ikiisha uccte kutuambia...he he he platinum
 
Watu wanausifu huo mjengo kwangu ni mjengo wa kawaida kabisa. Mbona swimming pool umekaa kama vile cesspit tank. Muelezeni atafute mtalaam wa kujenga swimming pool.

swimming pool ni ya bei rahisi hata kijumba pia unga unga mwana system of building.....
 
Mjengo wa kifahari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • A%20S-smoking.gif

Back
Top Bottom