Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli.
"....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu mjinga, aliyetumwa na wajinga kuja kufanya mambo ya kijinga, mimi ninajikita kujadili mambo yenye maslahi mapana kwa nchi yetu...."
VIDEO hii hapa chini.