demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96 yalifikia tamati baada ya wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza kushindwana na uongozi wa Simba SC kwenye baadhi ya maeneo kwenye mapendekezo ya mkataba ambao Sadio Alikuwa asainishwe.
Mapendekezo ya mkataba ambao simba sc walikuwa tayari kuingia na Sadio Ntibanzokiza yalikuwa na masilahi pungufu zaidi ya yale aliyokuwa akiyapata akiwa YANGA SC.
Kwa upande wa klabu ya Simba SC wao walitoa maelezo kuwa hali ya kifedha ya klabu kwa sasa hawakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kutimiza mahitaji ya kifedha ambayo Sadio alikuwa akihitaji.
Mazungumzo hayo yaliyamatika na sasa Sadio Ntibanzokinza hatocheza NBC PL msimu ujao.
Baada ya jitihada hizo sasa viongozi wa Simba SC wameamua kurudisha jitihada zao katika kusajili mchezaji wa eneo la ulinzi ambaye atafit katika bujeti ambayo haikukubaliwa na wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza.
Kuanzia kesho asubuhi tarehe 09.07.2022 Viongozi wa Simba SC wata establish official bid kwa mchezaji kutoka afrika ya magharibi ambaye alikuwa kwenye orodha ya mapendekezo ya wachezaji wao.