Huu Ndio Muafaka wa Simba SC Baada ya Mazungumzo na Sadio Ntibanzokiza Kufeli

Huu Ndio Muafaka wa Simba SC Baada ya Mazungumzo na Sadio Ntibanzokiza Kufeli

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96 yalifikia tamati baada ya wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza kushindwana na uongozi wa Simba SC kwenye baadhi ya maeneo kwenye mapendekezo ya mkataba ambao Sadio Alikuwa asainishwe.

Mapendekezo ya mkataba ambao simba sc walikuwa tayari kuingia na Sadio Ntibanzokiza yalikuwa na masilahi pungufu zaidi ya yale aliyokuwa akiyapata akiwa YANGA SC.

Kwa upande wa klabu ya Simba SC wao walitoa maelezo kuwa hali ya kifedha ya klabu kwa sasa hawakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kutimiza mahitaji ya kifedha ambayo Sadio alikuwa akihitaji.

Mazungumzo hayo yaliyamatika na sasa Sadio Ntibanzokinza hatocheza NBC PL msimu ujao.

Baada ya jitihada hizo sasa viongozi wa Simba SC wameamua kurudisha jitihada zao katika kusajili mchezaji wa eneo la ulinzi ambaye atafit katika bujeti ambayo haikukubaliwa na wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza.

Kuanzia kesho asubuhi tarehe 09.07.2022 Viongozi wa Simba SC wata establish official bid kwa mchezaji kutoka afrika ya magharibi ambaye alikuwa kwenye orodha ya mapendekezo ya wachezaji wao.
IMG_0516.jpg
 
Kuanzia kesho asubuhi tarehe 09.07.2022 Viongozi wa Simba SC wata establish official bid kwa mchezaji kutoka afrika ya magharibi ambaye alikuwa kwenye orodha ya mapendekezo ya wachezajj wao.
View attachment 2283926
Kuandika stori za kujitungia kama hizi ni sawa na kupiga punyeto tu, unajiongopea mwenyewe. Hapo kwenye hiyo tarehe ndiyo kitovu cha uzushi wako.
 
Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96....
Unawahi wapi?
Mchezaji huyo ni Herve Ngomo tetesi za usajili zinadai ameshasinya Lunyasi kandarasi ya miaka 3, kilichobaki ni official announcement tu.
 
Kama siku moja ina saa 24.

Je siku 4 itakuwa na saa ngapi?

Kumbuka sijamaanisha kuwa muda wote wanazungumza tu...Kwamba hawalali wala hawapumziki.

Leo ni tarehe 7.7.2022

IMG_0588.jpg
 
Saa 96????????

IMG_0588.jpg

Kama siku moja ina saa 24.

Je siku 4 itakuwa na saa ngapi?

Kumbuka sijamaanisha kuwa muda wote wanazungumza tu...Kwamba hawalali wala hawapumziki.

Leo ni tarehe 7.7.2022
 
Hakuna mchezaji anaitwa sadio ntibazonkiza afrika
 
Waswahili wengi wanasema “Masaa 24” ili hali kwa wale walio enda shule wanaitamka “Saa 24”.
Wewe shule yako ulienda kusomea ujinga. Post zako unazojaza humu zimebeba ujinga wako,na ndiyo maana hujistukii kila dakika unapost ujinga wako tu.
 
Aisee wee jamaa una majungu na muongo sana
1. Mazungumzo ya saa 96. Hivi saa 96 unazijua?
2. Taarifa umeiandika tarehe 7 afu unasema kesho yake ni tarehe 9? Ukija kudanganya jipange basi usiwe boya kiasi hicho
 
Huyu mbwiga ndiye ameaminiwa kuiwakilisha Yanga hapa JF.
FB_IMG_1655579378566.jpg
 
Bora imeshindikana.
Huyo ni Morrison mwingine kitabia, angetuongezea migogoro kuliko kujenga timu
Na kuna kila dalili kwa Konde Boy naye kusajiliwa na Kaizer Chiefs ambayo iko tayari kumnunua kwa fedha taslimu! Huku timu yako ikipeleka ofa ya kumtaka kwa mkopo!

Hivi Moo ana hela ya usajili kweli! Mbona sound nyingi sana msimu huu! Au muda wa kushusha majembe bado!
 
Back
Top Bottom