Huu Ndio Muafaka wa Simba SC Baada ya Mazungumzo na Sadio Ntibanzokiza Kufeli

Huu Ndio Muafaka wa Simba SC Baada ya Mazungumzo na Sadio Ntibanzokiza Kufeli

Bora imeshindikana.
Huyo ni Morrison mwingine kitabia, angetuongezea migogoro kuliko kujenga timu
Na wewe umeamini hii riwaya? Hakuna kitu kama hicho unless na wewe ni mtopolo kama huyo mleta stori
 
Na kuna kila dalili kwa Konde Boy naye kusajiliwa na Kaizer Chiefs ambayo iko tayari kumnunua kwa fedha taslimu! Huku timu tako ikipeleka ofa ya kumtaka kwa mkopo!

Hivi Moo ana hela ya usajili kweli! Mbona sound nyingi sana msimu huu! Au muda wa kushusha majembe bado!
Uliona wapi timu inayojielewa ikanunua mchezaji iliyemuuza kwa hela kubwa..? Tumia akili wewe. Angalia kwa lukaku nk.?
 
Uliona wapi timu inayojielewa ikanunua mchezaji iliyemuuza kwa hela kubwa..? Tumia akili wewe. Angalia kwa lukaku nk.?
Kwa Clotus Chama mlipewa bure? Akili za mashabiki wa simba bhana! Halafu mimi sijasema mnataka kumnunua! Maana hamna hizo fedha.

Mlimtaka kwa mkopo! Ila kwa bahati mbaya Kaizer Chiefs wameweka mzigo mezani. Hivyo uwezekano wa kumpata haupo!
 
Sawa tumemchukua lakn kwa chama vei yake aliyouzwa haifiki ya luis. Bei ya luis ilikua kubwa mzee hivyo wanao muuza watataka faida umeona hapo. Parefu na mchezaji anazeeka hivyo lazima hesabu zipigwe vzr kubalance na kuuokoa uchumi
 
Na kuna kila dalili kwa Konde Boy naye kusajiliwa na Kaizer Chiefs ambayo iko tayari kumnunua kwa fedha taslimu! Huku timu tako ikipeleka ofa ya kumtaka kwa mkopo!

Hivi Moo ana hela ya usajili kweli! Mbona sound nyingi sana msimu huu! Au muda wa kushusha majembe bado!
Mwamedi mbahili sana.
Bora Simba tuandamane timu apewe Bakhresa
 
Leo mchana mazungumzo yaliyodumu kwa kwa zaidi ya saa 96 yalifikia tamati baada ya wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza kushindwana na uongozi wa Simba SC kwenye baadhi ya maeneo kwenye mapendekezo ya mkataba ambao Sadio Alikuwa asainishwe.

Mapendekezo ya mkataba ambao simba sc walikuwa tayari kuingia na Sadio Ntibanzokiza yalikuwa na masilahi pungufu zaidi ya yale aliyokuwa akiyapata akiwa YANGA SC.

Kwa upande wa klabu ya Simba SC wao walitoa maelezo kuwa hali ya kifedha ya klabu kwa sasa hawakuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kutimiza mahitaji ya kifedha ambayo Sadio alikuwa akihitaji.

Mazungumzo hayo yaliyamatika na sasa Sadio Ntibanzokinza hatocheza NBC PL msimu ujao.

Baada ya jitihada hizo sasa viongozi wa Simba SC wameamua kurudisha jitihada zao katika kusajili mchezaji wa eneo la ulinzi ambaye atafit katika bujeti ambayo haikukubaliwa na wawakilishi wa Sadio Ntibanzokinza.

Kuanzia kesho asubuhi tarehe 09.07.2022 Viongozi wa Simba SC wata establish official bid kwa mchezaji kutoka afrika ya magharibi ambaye alikuwa kwenye orodha ya mapendekezo ya wachezaji wao.
View attachment 2283926
Aibu yako
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom