Imekuwa ni kawaida kwa wanadamu kufanya Dua/Sala zao za mwisho pale mauti yanapowakaribia. Hivyo Kwa mwana Simba yeyote aliyepo mahali popote muda ndio hivyo unayoyoma hebu mgeukieni Mola wenu kwa Dua/Sala zenu za mwisho kwani mauti yenu yapo karibu sana.
Mtapigwa Hadi mpoteane nawaambia.
Tukutane saa 3 usiku kwa maombolezo