B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wakuu natumaini mu wazima.
Padree kapigwa na haihitaji kuwa na D2 ndio ung'amue bali inahitaji tu kuamka na kuambiwa na kuona na kusikia. Padree alikemea mambo ya kusingiziana na kunyimana haki na mambo ya chafuzi za fisiemu.
Watu wale wachafuzi wa chaguzi zetu nchini hawapo tayari kufuata haki za wananchinna kujali maamuzi ya watanzania hususani watanganyika.
Padree ameumizwa kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari
Mapolisiemu hawawezi kujieleza tukumbuke hili.
Rai yangu kwa makanisa yanapaswa kuungana na kuukemea huu ushenzi kwa namna watakavyoona wao kuwa wa ungane na kukemea kwa namna gani.
Taifa letu sote kwanini watu wachache hawataki haki na kuheshimu maamuzi ya watu wa taifa letu
.?
No reforms no election tutaihubiri kila siku kila saa na kila pumzi tupewayo na Mungu.