BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kulala: miaka 26
Kazi: miaka 12
Kuangalia TV: miaka 8.8
Ununuzi: miaka 8.5
Kula na kunywa: miaka 3.6
Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2
Mitandao ya kijamii: miaka 3
Mikutano: miaka 2
Utayarishaji: miaka 1.5
Kusafiri: miaka 1.5
Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25
Mazoezi: miaka 1.2
Katika baa na mgahawa: 1 mwaka
Ponografia ya mtandaoni: siku 300
Chooni: siku 240
Kucheka: siku 240
Kufanya Ngono: siku 117
Kukaa kwenye Foleni (Barabarani) siku 60
Kulia: masaa 30
Kufika Kileleni (Kwenye Ngono) (wanaume): masaa 9 sekunde 18
Kufika Kileleni (Kwenye Ngono) (wanawake): Saa 1 sekunde 24