Huu ndio muonekano wa jokate na Wema Sepetu bila ya make up! Nani mkali?

Huu ndio muonekano wa jokate na Wema Sepetu bila ya make up! Nani mkali?

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Huu ndio muonekano wa wanadada wawili
Wema sepetu na jokate mwegelo wakiwa nnje ya make up
1480697708727.jpg

Nani mkali?
 
Jokate mkali ila sijui ana shida gani huyu mwanadada natamani sasa hivi angekuwa kwenye ndoa na watoto kama wawili hivi ..ila ndio hivyo wanaishia kumkung'uta tu
Umenena mkubwa, halafu inaonekana ni mtam sana! Huyu mwingine anaonekana anaenda jalalabad sana tu!
 
Back
Top Bottom