Huu ndio music tunahitaji, kwa wale mnaotaka music halisia

Huu ndio music tunahitaji, kwa wale mnaotaka music halisia

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Mwaka huu nilikutana na clip ya music ikitembea WhatsApp na YouTube.
Kiukweli aina ya uimbaji, uchezaji na upigaji wa ala za music ilinishangaza na kunifurahisha kwa pamoja.
Hii ilinikumbusha DDC Milimani Park, Ottu jazz, Vijana jazz nk

Huu ndio Mziki ambao unaendelea kutrend hadi Leo kwenye kumbu zote za Starehe

Nilipofanya utafiti kidogo nikagundua kumbe ni Band ya Mbeya, Changamsha Band.

Moja ya Nyimbo hizo

" Wanawake ni Waongo"

Wimbo wenye hisia Kali

Tuwape support vijana wenzetu wake wawe band kubwa.

Akudo impact ilikufa, Mapacha watatu ilipotea, Twangapepeta imelala, Malaika band haisikii, Diamond Band imepotea.


View: https://youtu.be/jgeEa1XtKfM?si=jp3-vrwPzckSmvdR
 
Polisi jazz band, magereza, muungano culture, OTTU na zingine zilizotamba miaka ya 90 ziko wapi? au ziliishapitwa na nyakati?
 
Back
Top Bottom