Huu Ndio Mwanzo Wa serikali Kukosa Walimu ili CCM wapate sehemu ya kupatia kula 2015

Huu Ndio Mwanzo Wa serikali Kukosa Walimu ili CCM wapate sehemu ya kupatia kula 2015

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Hama kwa hakika watz 2meshindwa kuwa wachunguzi wa mambo, hv unazani serikali inashindwa kutoa AJIRA au wanataka Walimu waajiriwe kwnye sekta nyingine ili idadi ndogo ya walimu wakiajiriwa na serikali namaanisha lengo lisipofikiwa kwa kuwa na waalimu wachache ili watumie kigezo cha kuombea kula 2015
 
Back
Top Bottom