I'm not a fan of Justin Bieber, lakini mwisho wa dogo sio leo kwasababu sasa hivi anapiga hela hata asipoingia studio au asipopanda stage kutumbuiza. Trollers wa kwenye social media ni watu wasio na jambo la maana la kufanya, kwa hiyo wana muda wa kutosha wa kutukana watu hata wasio wajua.