Huu ndio mwisho wa Justin Bieber!?

Huu ndio mwisho wa Justin Bieber!?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nimepita Instagram kwenye account ya Snoop Dog kapost picha ya Beaber nimeshangaa matusi anayoporomoshewa huyo dogo nikajiuliza kulikoni? Amewakosea nini wapenzi wake wa miziki? Au ndio dalili ya tamati yake kimuziki?
 

Attachments

  • 1426418373861.jpg
    1426418373861.jpg
    70.7 KB · Views: 557
  • 1426418412650.jpg
    1426418412650.jpg
    49.8 KB · Views: 517
Nikupe namba ya snop umuulize...? Unatuuliza sisi tukusaidie nin..?
 
Huyo dogo hajaanza kupondwa leo..kitambo sana lakini maisha yanaendelea..life bila unafki haliendi..hao wanaoponda hapo still nyimbo zake wanasikiliza
 
I'm not a fan of Justin Bieber, lakini mwisho wa dogo sio leo kwasababu sasa hivi anapiga hela hata asipoingia studio au asipopanda stage kutumbuiza. Trollers wa kwenye social media ni watu wasio na jambo la maana la kufanya, kwa hiyo wana muda wa kutosha wa kutukana watu hata wasio wajua.
 
Nikupe namba ya snop umuulize...? Unatuuliza sisi tukusaidie nin..?

daah utakua ume nisaidia sana aisee nitumie hiyo namba ya mnyamwezi snoop mzee wa dope! nataka nifanye nae ngoma moja matata sana!
 
Back
Top Bottom