Huu ndio mwisho wa malalamiko ya watanzania. Kila mtanzania kuwa na fursa ya kutoa taarifa kuhusu wapi ahudumiwi vizuri.

Huu ndio mwisho wa malalamiko ya watanzania. Kila mtanzania kuwa na fursa ya kutoa taarifa kuhusu wapi ahudumiwi vizuri.

Capitrait

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
228
Reaction score
328
Nimeona Twitter & Instagram.

Kama ni kweli mbona walalahoi ama wale wanyonge kama Hayati Magufuli alivyokuwa anawaita wamepata utetezi mubashara.

Kuna watu wanamtakia huyu Mama yetu Rais Samia mafanikio mema sana kwenye utawala wake.

Wanyonge sasa nao kudemka hahahahahaha!

Nenda insta na Twitter tafuta: ovctanzania

Na kwa jinsi watz walivyo kuna watakaokuja kusema ni mimi huyo najipigia promo akaunti zangu za mtandaoni. Dah...!
 
Back
Top Bottom