Si nilisikia anapiga watu hovyo...........amesha recover ?......eti alimkuta Nora studio akamdunda.....na kama hajapona kuna siku ataenda huko studio akutane na baunsa kama Stara Thomas.....au Isha Mashauzi.......adundwe yeye...
Kawa kama TV ya zamani tupa kule mbali
yaani watu mbwembwe mingi mara kaenda
Japan na Jumbe mara sijui nini ama kweli
ngoma ikilia sana haikawii kupasuka!