Huu Ndio Mwonekano mpya wa Msanii RAY C Akionyesha Mapaja yake...!!

Huu Ndio Mwonekano mpya wa Msanii RAY C Akionyesha Mapaja yake...!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Screenshot_2013-12-10-03-30-09.png



rayc.jpg
 
Sasa apo kiuno kipo kweli sasa iv??,au ndo ma hips ya tumbo
 
Sasa apo muonekano mpya ndo uko wapi?? Huyo si ray c wa siku zote?? Dah watu wengine bhan,mi nilijua kanyoa para kama amber rose
 
Si nilisikia anapiga watu hovyo...........amesha recover ?......eti alimkuta Nora studio akamdunda.....na kama hajapona kuna siku ataenda huko studio akutane na baunsa kama Stara Thomas.....au Isha Mashauzi.......adundwe yeye...
 
Anataka kuolewa nahana mtoto wakati amesahau kizazi katupia mmbwaa?
Aya maisha duh ?
Achayaende tu?
 
Kawa kama TV ya zamani tupa kule mbali
yaani watu mbwembwe mingi mara kaenda
Japan na Jumbe mara sijui nini ama kweli
ngoma ikilia sana haikawii kupasuka!
 
Nilimuona juzi kwenye mkasi TV shavu dodo..kajiunga na kitengo au? lol...
 
Back
Top Bottom