Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

Nimetoka kucheki Interrogation muda si mrefu uko vizuri sana...!
 
Nimeona atlist 75% ya muvie zako pendwa
 
Aiseee naangalia Lawless hapa warusi wanachinjana live live mazee...!
 
Nimekusoma Mkuu

Aisee nimeumaliza huo mzigo hapa nipo na mtu mmoja hatari sana Jason Statham mzigo unaitwa SAFE...!

Nakuongezea library kiongozi hutajutia hiyo mizigo mkuu...!
 
Aisee nimeumaliza huo mzigo hapa nipo na mtu mmoja hatari sana Jason Statham mzigo unaitwa SAFE...!

Nakuongezea library kiongozi hutajutia hiyo mizigo mkuu...!
Hiyo ninayo..hata kwenye orodha yangu hapo ipo..ukimaliza hiyo mtazame kwenye hizi.
1. Mechanics zote.
2. Killer Elite.
Halafu uje uniambie.
 
Hiyo ninayo..hata kwenye orodha yangu hapo ipo..ukimaliza hiyo mtazame kwenye hizi.
1. Mechanics zote.
2. Killer Elite.
Halafu uje uniambie.

Mechanic nnayo moja kwenye mashine nitaicheki kesho mzee baba, zipo ngapi hizi...?

Huwa napenda kuangalia kwa mtiririko kuanzia movie ya kwanza kutoka mpaka ya mwisho ili kupata story kamili au hazihusiani...?
 
Za huyo mwamba ziko mbili..the mechanic ya 2011 na the mechanic resurrection ya 2016.
 
Za huyo mwamba ziko mbili..the mechanic ya 2011 na the mechanic resurrection ya 2016.

Aiseeee nipo na The Mechanic ya 2011 ndio kwanza nimeianza aisee, huyu jamaa ni mtu hatari sana mzee baba...!

Noma sana aiseeee...!
 
Itazame na Rampage.Capital punishment mkuu

Aiseee mzigo mkali sana nimeuelewa kiongozi jamaa anajua sana...!

Ya nani hiyo Rampage kiongozi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…