Huu ndio uanaume

Huu ndio uanaume

Watu wanaweza hata kudumu zaidi ya nusu saa bila kucheua.

Lakini wengi wanapiga chap chap na kusepa ili kuepuka michubuko, si unajua watu wazima hatuwezi kutumia socks?

Wanaojifanya mafundi ndio UKIMWI unawapukutisha.
 
Punzi ina mchango gani ktk kutia mimba?
Licha ya kutia mimba, Katika wanyama wote binadamu ndio mnyama pekee anayetumia tendo la ndoa kama starehe, wanyama wote hufanya kwaajili ya mimba tu
 
Mwanaume shurti uwe na Pumzi ndefu, sio unapewa
mzigo unahema kama Fuso ya Viazi... Mibia
mnayokunywa na Vitambi utadhani
Simtank, mkiibiwa msilaumu.Dakika 5 nyingi
unaomba Poo, kamua mzigo ujenge heshima, uko
bize kufuga ndevu mkeo ataibiwa,

TUNAKULAGA
 
AISEEE SASA INAKUAJE TUMEGEUZA TENDO LA KUTAFUTA MTOTO KAMA NJIA MOJA WAPO YA STAREHE... MIMI NADHANI DAKIKA 7-15 INAFAA ZAIDI KULIKO ZAIDI YA HAPO.
 
Back
Top Bottom