Huu ndio uchawi wa lady jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nimeshangaa sana baada ya kuona AWARDS mbalimbali alizojinyakulia LADY JAYDEE tokea aanze muziki apa bongo mwaka 2000 hadi sasa 2013,tokea mwaka huo(2000) aanze muziki alibahatika kujinyakulia tunzo na hadi leo hii hajawahi kukosa tunzo ukijumlisha na zile alizopata uganda kama mara nne au tano ivi,tokea aanze muziki mwaka huo JIDE hajawahi kuchuja hadi leo hii bado yupo juu kimuziki hata kimaisha,kumbuka ni miaka kumi na tatu (13) sasa.Ki ukweli huyu msanii anahitaji heshima ya kipekee apa bongo na nchi za jirani pia.Hiki kitu sio cha kawaida kabisa kuwahi kutokea apa bongo.Achilia mbali mafanikio aliyoyapata ya kujenga jumba la kifahari,kumiliki mgahawa wa kisasa(NYUMBANI LOUNGE),kumiliki band ya music,kufungua STUDIO YA MUZIKI,na hivi karibuni yupo njiani kufungua RADIO STATION yake binafsi,can u imagine???,kufungua radio station sio kitu cha kawaida hata kidog especially kwa wasanii wetu wa apa bongo.Kwa sasa HAKUNA msanii yeyote awe wa kike au wa kiume mwenye ubavu wa kushindana na huyu bidada,SHE IS THE NUMBER ONE.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jay dee anastahili heshima kwa yale aliyoyafanya bila hata kuzungumzia aliyoyapata kupitia muziki... lakini pamoja na yote wanamuziki wengine pia wanapaswa kuheshimiwa vilevile. Kila mmoja ameweka mchango wake katika maeneo tofauti
 
Sasa uchawi uko wapi hapo?

hiyo ni lugha ya picha tu... Kwamba anafanya mambo makubwa si rahisi mwanamke kusimama na kufanya mwenyewe..maajabu..

Si ndio mtoa mada?
 
hiyo ni lugha ya picha tu... Kwamba anafanya mambo makubwa si rahisi mwanamke kusimama na kufanya mwenyewe..maajabu..

Si ndio mtoa mada?

Dah,safi sana,duh uko vzur kifikra ndugu,ebu kula tano,yah she has done so amazing things ambvyo hata wanaume wameshindwa kuvifanya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwanza Fm ikianza nitamvulia kofia rasmi!!
Kuendesha radio kwa kuanzia chini kabisa kama ilivyokuwa mawingu si rahisi.
Pamoja na mapungufu ya Ruge lakini ana kipaji cha hatari ktk kusimamia radio ingawa TV imemshinda maana hadi sasa hawajafikia hata level za EATV ikiitwa ITV 2!!
 
Ukisema huu ndio 'uchawi wake' una maanisha kuna something behind mafanikio yake kiwe kizuri au kibaya. Mfano sala,ameenda kwa mganga or chochote kile,sasa hapa kwa Jide hakuna ulichotaja hivyo hiyo heading sio sahihi.
Namkubali sana huyu mdada,she is such a strong woman na mfano bora kwa kila mtu. Tusimsahau pia Gadna G Habash mtu wake wa karibu aliyempa kampani hadi leo hii. Jide amepitia mengi ila anayeyajua sana na aliyeyavumilia sana ni anayelala naye na kuamka naye kila siku so big up Gadner G. Kila nikikumbuka nyimbo ya machozi na ile album ya kwanza nashindwa kuamini kama ndio wewe the same Lady J Dee,hivi umeshindwa hata kuwa bonge kama wakina Dully,Prof J,matonya etc baada ya kutoka? Umeshindwa hata kutumia madawa ya kulevya na kupotea kwenye game kama wakina daz baba,feruzi,ray c etc? Umeshindwa hata kujiingiza kwenye skendo za kingono,picha chafu n.k? Hongera sana na all the best katika safari yako ya mafanikio zaidi.
 

True boy,pengine husband wake huyo kaplay role kuhakikisha ubavu wake kufanya vizuri kwenye ramani ya muziki ata kweny maisha ya kawaida,big up guys

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Reactions: Sal
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…