Huu ndio uchawi wa lady jaydee

nadhan akifungua redio atapeleka maisha yake ktk level nyingine maan wamiliki wengi wa redio wamekuwa wababishaj na wakandamiz sana, she is such a fighter!!
 
Jide yuko juu sio videm vingine vinambwela mbwela tu kukata mauno wakiwa uchi stejin wakidhani ndo faidaa
 

Huyu ni mfano wakuigwa sio wengine viuno na kukaa uchi ndio wanaona watafanikiwa
 
Napenda uchapa kazi wake, she is aggressive and determined, hayumbi hata kidogo for all These 13 yrs unaweza ona alikua imara tuu... Napenda pia urafiki wake na Mumewe wako begå kwa begå
 
kwahiyo?? yatupasani sisi??
 
Mimi ninaona bora afunguwe tuu tusikilize hiyo na Times Fm
maana wale mafara wa Clouds sijui wameisha kabisa yaan hata fiester wana chemsha mbaya sikuhizi
sasa bora JiDe aje na redio yake ili awaaribie kabisa kama anavyofanya na wanavyo fanya East Africa radio na Tv kuwafunika kwenye shoow
 
Napenda uchapa kazi wake, she is aggressive and determined, hayumbi hata kidogo for all These 13 yrs unaweza ona alikua imara tuu... Napenda pia urafiki wake na Mumewe wako begå kwa begå

mkuu kuwa aggressive ulimaanisha nini?
 
Mnazoleta ni longo longo neno uchawi hutumika sana kuvutia habari au jambo fulani.ni lugha ya picha inayomfanya mtu kuvutika na habari au jambo kabla ya kulikabili.na ndo maana umefungua mbio mbio ukijua ni ushirikina.zingine mnazoleta ni mbwembwe tu.goli la maradona linaitwa la mkono wa mungu inamaana mungu alimwazima maradona mkono.ni neno la kawaida sana na hutumika mara kwa mara.big up mtoa mada.
 
Halafu kuna ----- mmoja pale Mawingu anaitwa Rugay anasema Jide amekwisha, anatakiwa kukabidhi kijiti kwa wengine.
Jinga sana lile, kwani Bi Kidude alimkabidhi nani kijiti chake, kama hakufa nacho.

Hivi ni Ruge ama Ru gay?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…