Huu ndio uhalilsia wangu, nitakuwa na tatizo?

Sawa.
 

Namba 1 &4 inaonyesha una shida, jaribu kurekebisha. Hasahasa namba 4, umekuwa mungu wewe kusema hupendi kupokea unapenda kutoa tu?

Ukiwa mtu wa aina hii utachelewa kujua wanaokupenda kiuhalisi ni wakina nani. Na ubaya ukipata tatizo kubwa, uliokuwa unawasaidia wanakukimbia unaanza kujilaumu.

As long as wewe ni mwanadamu, usitoe kitu kwenda sehemu ambapo hakuna faida ya kiuwekezaji maana kama kutoa kukiwa in mutual terms hata upendo unajengwa na kukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…