W Watika Member Joined Feb 9, 2014 Posts 19 Reaction score 18 Nov 18, 2021 #1 Life is so good now, kila kitu tunagawana. Maji tunagawana, umeme tunagawana, Barabarani tunavumiliana na dizel tunachoma. Kwa kifupi life is so good now. What do you think?π. Kama hujaoga siku mbili usikomenti hapa. Skiiip. Tutajidili tuliooga tu.
Life is so good now, kila kitu tunagawana. Maji tunagawana, umeme tunagawana, Barabarani tunavumiliana na dizel tunachoma. Kwa kifupi life is so good now. What do you think?π. Kama hujaoga siku mbili usikomenti hapa. Skiiip. Tutajidili tuliooga tu.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Nov 18, 2021 #2 na kama umetumia generator kuchaji simu usionekane hapa.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Nov 18, 2021 #3 siasa bana makamu wa Raisi kafichwa kwapani. bora ata jiwe mama alikuwa hajafichwa hiviii.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Nov 18, 2021 #4 siasa bana makamu wa Raisi kafichwa kwapani. bora ata jiwe mama alikuwa hajafichwa hiviii.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Nov 18, 2021 #5 Kama usiku ulipiga chini ya bao 3 kaa pale---
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Nov 18, 2021 #6 Unataka kuoga na wakati huwez kumridhisha mkeo huo uchafu unachafukia wapi?
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Nov 18, 2021 #7 kolola said: Je wanaotaka kufyonza huo uchafu ati kuzama chumvini unawaonaje? Click to expand... Wanao zama chumvini sirikali itatoa mgao wa glass mojamoja ya maji kwaajili ya kuswaki maana nao pia Wana upungufu wa nguv za kiume chumvini unapigwa mpini siyo ulimi
kolola said: Je wanaotaka kufyonza huo uchafu ati kuzama chumvini unawaonaje? Click to expand... Wanao zama chumvini sirikali itatoa mgao wa glass mojamoja ya maji kwaajili ya kuswaki maana nao pia Wana upungufu wa nguv za kiume chumvini unapigwa mpini siyo ulimi